⛪ World Christian News

← 목록으로

Papa Leo XIV: Tunu Msingi za Michezo: Uaminifu, Ujasiri, Ustahimilivu, Nia Njema

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-27 16:12 UTC (15시간 전)

Papa Leo XIV akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wasaidizi wa Kanisa wa Michezo, CSI anasema kwamba, katika hotuba ya kukumbukwa na kugusa hisia iliyotolewa kwa wanamichezo mara baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia Papa Pius XII, alizungumzia tunu za michezo kuwa ni: uaminifu, ujasiri, ustahimilivu, nia njema, na udugu wa wote” akizielezea kama fadhila za asili zenye uwezo wa kuweka msingi imara kwa ajili ya maisha ya kiroho. Michezo ndani ya Kanisa.

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.