⛪ World Christian News

← 목록으로

Tafakari Dominika ya Kwanza ya Majilio Mwaka B: Matumaini Katika Mungu Baba!

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-27 14:49 UTC (16시간 전)

Majilio ni kipindi cha kukesha na kusali, ni wakati wa kutoka katika usingizi wa kiroho, ili kuutafakari ufalme wa Mungu. Kwa matumaini tunamkumbuka Yesu Kristo aliyejifanya mtu huku tukitafakari uwepo wake katika maisha yetu. Kama Mungu kweli na Mtu kweli, Kristu anaupa maana uwepo wetu hapa duniani hadhi ya kimungu akituonesha uzuri wa maisha ya Kimungu. “Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana...

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.