⛪ World Christian News

← 목록으로

Tafakari Dominika ya Kwanza ya Majilio Mwaka B: Injili ya Matumaini

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-27 10:03 UTC (21시간 전)

Hiki ni kipindi cha maandalizi ya kusherehekea Noeli, kuzaliwa kwake Yesu Kristo, Emanueli, Mungu pamoja nasi. Na ni kipindi cha kujiandaa kumpokea mtoto Yesu kiroho ili ahuishe maisha yetu, tuweze kuishi kwa upendo, umoja, mshikamano na amani. Hivyo majilio ni kipindi cha kungoja kwa matumaini ujio wa Kristo katika maisha yetu. Ni wakati muafaka wa kukesha katika Sala, Neno la Mungu na Sakramenti za Kanisa zinazomwilishwa katika huduma tendaji!

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.