⛪ World Christian News

← 목록으로

Hotuba ya Papa Leo XIV Kwa Wakuu wa Mashirika Ya Kitawa na Kazi za Kitume: Uongozi

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-26 16:18 UTC (1일 전)

Papa Leo XIV tarehe 26 Novemba 2026 amekutana na wakuu wa Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume zaidi ya 250 na hivyo kuweza kujibu maswali yao sita. Maana ya msemo amani "Isiyo na Silaha na Inayopokonya Silaha” unahusiana kwa karibu na maneneo ya Kristo Yesu Mfufuka “Amani iwe nanyi” Yn 20:19, 21. “Amani ambayo sote tunaitamani ni amani isiyohitaji silaha, na ambayo kwa hakika ina uwezo wa kuondoa silaha kutoka kwa majeshi na pia kutoka katika mioyo .

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.