Imekuwa ni fursa ya kutafakari hali ya majadiliano ya kidini sehemu mbalimbali duniani, na kutambua jinsi ambavyo jumuiya za Kikristo, pamoja na waamini wa dini nyingine, wanavyoweza kuchangia kwa ufanisi zaidi katika kujenga amani. Katika ulimwengu unaokabiliwa na migogoro, migawanyiko, na mabadiliko ya kiteknolojia hasa katika zama za teknolojia ya Akili Unde Mkutano huu pia umechunguza jinsi jumuiya za kidini zinavyoweza kusaidia kujenga utamaduni wa haki