⛪ World Christian News

← 목록으로

Hotuba ya Papa Leo XIV Kwa Wajumbe wa Baraza La Kipapa La Maendeleo Fungamani

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-26 15:10 UTC (1일 전)

Wajumbe wa Baraza la Kipapa la Maendeleo Fungamani ya Binadamu kutoka katika nchi mbalimbali, ujuzi na mitazamo tofauti, inayofumbatwa katika huduma, tarehe 26 Novemba 2026 wamekutana na Baba Mtakatifu Leo XIV kuwakumbusha kwamba, Katiba ya Kitume: “Praedicate Evangelium” imewakabidhi jukumu zito: kushirikiana na Khalifa wa Mtakatifu Petro, kupitia kwa Maaskofu, na Makanisa mahalia katika kuragibisha maendeleo kamili ya kibinadamu.

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.