⛪ World Christian News

← 목록으로

Papa Leo XIV: Tume ya Taalimungu KImataifa: Mapokeo Ya Kitume & Utamadunisho

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-25 15:28 UTC (2일 전)

Tume ya Taalimungu Kimataifa imefanya mabadiliko makubwa na kwa mara ya kwanza wanakutana kwa kuongozwa na kauli mbiu: Mapokeo ya Kitume na Mifumo ya Kitamaduni ya Kueneza imani. Huu ni mchango mkubwa unaotolewa na Tume hii, tangu baada ya Maadhimisho ya Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican na kutambua katika mwanga wa Injili changamoto na fursa mpya zinazoendelea kujitokeza kutokana na mikitadha ya tamaduni, hili ni jukumu nyeti sana.

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.