GS 77-93: Kuhamasisha amani na kustawisha Jumuiya ya Kimataifa: Maumbile ya amani, kuepuka vita na kuzuia ukatili wa vita; vita kamili; mashindano ya kujipatia silaha; juhudi za Kimataifa ili kuepuka vita; sababu za magomvi na tiba yake; Jumuiya ya Kimataifa na Taasisi zake; Ushirikiano wa Kimataifa katika mambo ya uchumi; Kanuni zenye kufaa; Ushirikiano wa Kimataifa kuhusu ongezeko la watu; Jukumu la Wakristo katika kutoa misaada; uwepo wenye mafao Kimataifa!