⛪ World Christian News

← 목록으로

Padre Erasmo Mligo, Gambera wa Seminari Kuu ya Karoli Lwanga, Segerea, Dar es Salaam.

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-24 14:05 UTC (3일 전)

Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu, Sehemu ya Uinjilishaji wa Kwanza na Makanisa Mapya Maalum, tarehe 16 Oktoba 2026 lilimteuwa Mheshimiwa Padre Erasmo Mligo kutoka Jimbo Katoliki la Njombe kuwa Gambera mpya wa Seminari kuu ya Mtakatifu Karoli Lwanga, Segerea Jimbo kuu la Dar es Salaam na kusimikwa rasmi tarehe 14 Novemba 2026. Vitendea Kazi: Sheria za Kanisa, Mwongozo wa Malezi ya Kipadre na Maelezo Mahususi kutoka Vatican.

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.