Baiskeli ni sehemu ya historia na utambulisho wa tamaduni nyingi; ni chombo cha usafiri kinachowawezesha kuboresha afya zao na kwa upande mwingine, ni chombo kinachoweza kusaidia katika kupata uzoefu na mang’amuzi ya maisha kiroho yenye maana zaidi. Watu wengi wanaendelea kuhifadhi kumbukumbu ya mashindano haya kwani mashindano haya yamekita mizizi yake katika utamaduni na mifumo ya kijamii na hivyo kuvuka mipaka ya ushindani wa kawaida tu.