⛪ World Christian News

← 목록으로

Papa Leo XIV Akutana na Kuzungumza na Vijana wa Majimbo ya Lazio, Italia

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-22 14:24 UTC (5일 전)

Imekuwa ni fursa ya pekee kwa vijana kukutana pamoja, kuishi wakati huu kama Kanisa, na kusikiliza maneno ya PapaLeo XIV. Huu umekuwa ni muda wa: Sala, tafakari na shuhuda mbalimbali kutoka kwa: wachumba waliochumbiana, kijana aliyeongoka hivi karibuni na kupokea Sakramenti ya Ubatizo; Msichana mwenye tajiriba ya kimisionari; Kijana anayetafakari wito wa upadre, msichana anayetafakari wito wa maisha ya wakfu; kijana aliyepitia uzoefu wa vita! Shuhuda

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.