⛪ World Christian News

← 목록으로

Papa Leo XIV Sherehe ya Kristo Mfalme wa Ulimwengu: Haki! Udugu! Uhuru na Utu

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-22 13:49 UTC (5일 전)

Papa Leo XIV anasema, Kristo Yesu katika Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo 25:31-46 anafunua maana halisi ya haki kupitia mazungumzo yake kuhusu watu waadilifu na waovu na kwamba, Kristo Yesu ni kipimo cha haki kwa sababu ndiye chanzo cha wokovu na kwa njia ya mahusiano na mafungamano na mwanadamu anafunua ukweli wake ndani yake mwenyewe, kinyume kabisa na aina zote za ufisadi. Kristo Yesu ni Mfalme wa: Haki, Amani, Upendo na Wokovu!

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.