⛪ World Christian News

← 목록으로

Mkutano wa COP31: Kipaumbe Cha Kwanza: Utu, Heshima Na Haki Msingi za Binadamu

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-22 09:21 UTC (5일 전)

Vatican imewataka viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa kuweka utu wa binadamu, haki kijamii na mshikamano katika kiini cha hatua za kimataifa za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, ikionya kuwa kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabianchi kunatishia maisha na riziki za watu walio katika mazingira magumu zaidi. Papa Leo XIV katika ujumbe wake kwa mkutano wa COP30 alikazia ziaidi utu, heshima na haki msingi za binadamu kama kipaumbele.

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.