⛪ World Christian News

← 목록으로

Sherehe ya Kristo Yesu Mfalme wa Ulimwengu! Siku ya 41 ya Vijana! Msiogope!

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-21 16:42 UTC (6일 전)

Baba Mtakatifu Pio XI alipoguswa kuikumbusha dunia na viongozi wake kuwa ufalme wa kweli ni ule unaosimikwa na Kristu nao si wa kisiasa au wa kijeshi wa kidunia unaotumia mabavu na silaha, bali ni ufalme wa haki, amani, upendo, ukweli na wokovu. Kiti cha enzi cha Mfalme huyu ni Msalaba, ambapo Yesu Kristu mwenyewe alijitoa ili awe dhabihu kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Kanisa pia linaadhimisha Siku ya 41 ya Vijana Ulimwenguni! Msiogope!

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.