⛪ World Christian News

← 목록으로

Sherehe ya Kristo Yesu Mfalme & Siku ya 41 ya Vijana Ulimwenguni

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-21 16:19 UTC (6일 전)

Baba Mtakatifu Leo XIV anawaambia kuwa wasiuogope ulimwengu bali wasonge mbele katika kupambana na maisha kwa kuwa Mungu anawajua, anawapenda, na anawasindikiza kila mmoja katika kila hatua ya maisha yake ya kila siku, na Roho Mtakatifu anatia ndani yao hamu ya kupenda na kupendwa, pamoja na tumaini la kudumu, naye anawasukuma kutafuta uhuru na ukweli. Kihitoria Sherehe ya Kristo Mfalme, iliidhinishwa na Baba Mtakatifu Pius wa XI, 1925 .

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.