⛪ World Christian News

← 목록으로

Shirika la Kikatoliki la Ustawi na Maendeleo Mashariki ya Kati: CNEWA: Injili ya Upendo

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-20 15:26 UTC (2026-11-20)

“Kama Shirika kuu la Kiti Kitakatifu nchini Marekani, kwa ajili ya huduma ya shughuli za: kichungaji, kiutu na kibinadamu kwa Makanisa haya, na kama mwanachama mwanzilishi wa Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Mashariki ya Kati, chombo muhimu sana cha mshikamano kati ya jumuiya za Kikristo Amerika Kaskazini na zile zilizoko Mashariki ya Kati. Kupitia shughuli zao, ukaribu wa Kanisa la ulimwengu wote unamwilishwa katika uhalisia wa maisha."

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.