⛪ World Christian News

← 목록으로

Papa Leo XIV: Jubilei ya Miaka 400 Ya Kutabarukiwa Kanisa Kuu La Mt. Petro Mjini Vatican

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-19 15:22 UTC (2026-11-19)

Kanisa kuu la Mtakatifu Petro linaadhimisha Jubilei ya Miaka 400 tangu kutabarukiwa kwake kwa Ibada ya Misa Takatifu iliyoongozwa na Papa Leo XIV, Jumatano jioni tarehe 18 Novemba 2026. Katika mahubiri yake, Papa Leo XIV anasema “Kutembelea Kanisa hili Takatifu daima huamsha hisia za kina: tunajawa na mshangao, unaotokana na utakatifu wa imani, nguvu ya historia, na uzuri wa sanaa. Hata hivyo, yote haya yamejengwa juu ya kaburi la unyenyekevu, Mt. Petro!

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.