⛪ World Christian News

← 목록으로

Kenya na Italia Watiliana Saini Mkataba wa Ulinzi Na Usalama

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-19 14:41 UTC (2026-11-19)

Tarehe 16 Novemba 2026, Kenya na Italia zilifanya mazungumzo yaliyohitimishwa kwa kutiwa saini kwa Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kenya na Serikali ya Italia kuhusu Ushirikiano katika Masuala ya Usalama. Mkataba huo ulitiwa saini na Mheshimiwa Kipchumba Murkomen na Matteo Piantedosi, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italia. Lengo kuu ni kukabiliana na uhalifu, biashara haramu ya dawa za kulevya, binadamu na viungo vyake; vitendo vya kigaidi na uhalifu.

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.