⛪ World Christian News

← 목록으로

Papa Leo XIV: Caritas Internationalis: Injili ya Huruma, Upendo Na Mshikamano

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-19 14:18 UTC (2026-11-19)

Caritas inamwilisha katika maisha na utume wake: upole wa Kristo Yesu kwa watu wote. Wanaleta huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao watu kupitia msaada wa kiroho na wa kimwili. Zaidi ya hayo, kupitia utume wao pamoja na yale majitoleo ya mamilioni ya watu wanasimama kidete dhidi ya hali kutojali, kwa kujitolea kwao kwa dhati kuheshimu na kulinda: Utu na heshima waliyopewa na Mwenyezi Mungu wale wote waliotengwa kwa namna yoyote ile. Utu!

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.