Katika kuadhimisha Siku ya Falsafa Duniani kila mwaka,ifikapo Alhamisi ya tatu ya mwezi Novemba, UNESCO imewaleta pamoja wanafikra na watunga maamuzi katika Makao Makuu yake,jijini Paris Novemba 19,2026 kwa ajili ya hotuba ya mwanafalsafa Souleymane Bachir Diagne.Je ni nani huyo mwanafalsafa wa Afrika?