⛪ World Christian News

← 목록으로

Ushuhuda wa Wamisionari Kutoka Kenya Wanaoishi na Kufanya Utume Wao Argentina

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-18 16:13 UTC (2026-11-18)

Kwa Sr. Lucy Muthikwa na Sr. Emma Ganda, wamisionari kutoka nchini Kenya wanaohudumu nchini Argentina, wanasema Hija ya Kitume ya Papa Leo XIV ilikuwa zaidi ya tukio la kihistoria la kukutana na Khalifa wa Mtakatifu Petro. Ilikuwa fursa ya kutafakari miito yao, kugundua upya kiini cha maisha na utume wa kimisionari na kuimarisha dhamira yao ya kutangaza na kushuhudia Injili katika mazingira tofauti ya kitamaduni: Muhimu: Sala, Neno, Sakramenti na Matendo!

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.