⛪ World Christian News

← 목록으로

Uzinduzi wa Siku ya Dominika ya Ikolojia 2026/2027:Mabadiliko Endelevu jijini Roma!

Vatican News (Kiswahili) Kiswahili 아프리카 2026-11-18 10:44 UTC (2026-11-18)

Siku iliyoundwa kwa ajili ya utambuzi wa kupunguza uchafuzi wa mazingira,foleni ya magari na kurejesha nafasi kwa watu,kujumuika na uendelevu,ilifanyika Domenika ya I ya kiikolojia kwa mwaka 2026/2027,jijini Roma,Novemba 15,ikitoa nafasi za ujumuishwaji katika shughuli za kiutamaduni na kuchangamana."Vatican News,ilizungumza na Bi Isabel De Lorenzo wa kikundi cha"San Lorenzo Danze del Mondo:"'Leo tuko hapa katika barabara ya Ottaviano kushiriki Dominika ya Ikolojia iliyonzishwa na jiji.'

Soma yote

 

원문 보기 — Vatican News (Kiswahili) ↗
이 페이지는 출판사가 RSS로 배포한 원문 그대로이며 번역하지 않았습니다. 저작권은 원 출처(Vatican News (Kiswahili))에 있습니다.